
Hapa nimebebwa na mama yangu kipenzi cha moyo wangu....ila nataka kunyonya kidogo jamani ...msiniangalie Huyu ni dada Rachel ,huwa nashinda nae...
Mungu ninakushukuru kwa kunifikisha mwaka mmoja na nusu tarehe 18.06.2013 ,niongezee maisha mengine zaidi,na Mungu wabariki wazazi wangu wote wape...
Twenzetu huku, karibuni mtaani mfurahie maisha bora Glory mwenyewe ndo huyu hapa sasa,,,!!! Hata kwenye uigizaji nipo sana, najifanya nimela...
Karibu Tule chips mayai kwa raha zako...!!! ...