| Hapa nimebebwa na mama yangu kipenzi cha moyo wangu....ila nataka kunyonya kidogo jamani ...msiniangalie |
| Huyu ni dada Rachel ,huwa nashinda nae nyumbani wakati wa mchana wakati wazazi wangu wakiwa kazini...ananilea vizuri sana na ninampenda sana...!!! |
![]() |
| Mama yake na mimi huyu,anaelekea kaziniii.....nakupenda sana mama yangu...!!! |

0 comments :
Post a Comment